Barometer Bistro – Masaki, Dar es Salaam

Unataka kufurahia chakula chako kitamu, ukiwa mwenyewe, na familia au na washkaji zako huku si tu ukipigwa na upepo mwanana wa Bahari ya Hindi, bali pia ukishuhudia mandhari yake ya kuvutia katikati ya peninsula ya Dar es Salaam? Barometer Bistro ni chimbo litakalokufaa. Ni mgahawa uliopo kwenye ghorofa ya 5 ya Renaissance Plaza, 1391 Haile…