Vyakula vinavyosaidia kuchochea kinga mwili kuongezeka – kinga dhidi ya magonjwa

Kinga za mwili ni mtandao wa kibaiologia unaolinda kiumbe hai kisipatwe na magonjwa au unaweza kuita mfumo maradhi. Mfumo wa kinga pia utakusaidia upone haraka pale unapopatwa na magonjwa mbalimbali. Faida za Kinga ya Mwili Kinga Mwili Dhaifu Hali mbalimbali katika mwili zinaweza kusababisha kinga mwili kua dhaifu na hivyo kusababisha mwili kupata magonjwa kwa…

Chili Republik Inavyoheshimisha Soko La Pilipili Tanzania

Jumatatu (Februari 19) kwenye pita-pita za Instagram, nilikutana na posti ya Chili Republik. Post hiyo ya tangazo la pilipili ilinivutia hata kutaka kufahamu mengi kuhusu Chili Republik. Nilifanikiwa kupata mawasiliano ya Anyamlye Steve Mtetemela, ambaye ni mwanzilishi wa Chili Republik. Mimi na Anyamlye tuliangalia mambo mengi kuhusu hali ya biashara ya Pilipili, ukuaji wa brand,…

Je una upungufu wa damu? Tumia vyakula hivi

Tatizo la upungufu wa damu sio tatizo geni kwa watu wazima hata watoto ni tatizo linalojulikana. Upungufu wa damu (Anemia) – Ni tatizo la kutokua na chembe nyekundu za damu za kutosha au kukosekana kwa Hemoglobin ya kutosha kubeba na kusafirisha hewa ya oksijeni katika tishu za mwili. Hemoglobin ni protini inayopatikana kwenye chembe nyekundu…

Badili mtindo wa maisha kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza- Prof. Janabi

Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Mohamed Janabi alisema hayo hivi karibuni katika hafla fupi ya kukabidhi tuzo na medali kwa baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na taasisi nyingine zilizotolewa na taasisi ya Profesa Jay ikiwa ni kutambua mchango wao katika kutoa huduma za afya. Prof. Janabi alibainisha pia…

Njia tisa za kuepuka kuharibu chakula (food waste)

Kuharibiwa na kutupwa kwa chakula ni tatizo kubwa kuliko namna watu wanavyojua. Tatizo hili lipo kwa watu wengi na lina muda mrefu. Nakumbuka wakati tunakua nyumbani wazazi walikua wanakemea sana juu ya uharibifu wa chakula. Suala hili lina epukika na lipo mikononi mwetu wenyewe kuhakikisha tunapunguza kuharibu chakula au kutokomeza kabisa. Uchunguzi unaonyesha kwamba robo…

Kula hivi kuongeza uimara (sexual stamina) na muda katika tendo la ndoa

Umewahi kujiuliza unatakiwa ule au usile nini ili kupata nguvu zaidi katika tendo la ndoa? Watu wengi wamekua wakifikiria sana namna tendo litakavyokua kwa ukubwa wanaohitaji lakini mara nyingi huenda tofauti namatarajio yao. Mara nyingi muda waliopanga utakua tofauti mathalani unakua mchache zaidi na hata nguvu zinakua sio za kutosha. Sexual Stamina ni ile hali…

Panga na pendezesha jiko lako kwa mpangilio huu

Jiko; jikoni kwenye madikodiko. Sehemu mojawapo muhimu sana katika nyumba. Hapa ni sehemu inayorudisha tabasamu kwa mwenye njaa na afya kwa mgonjwa. Jiko pia ni sehemu itakayoandaa chakula safi na kuwakutanisha wanafamilia, ndugu na jamaa kwa karibu na kufurahia wakati kwa pamoja. Jiko ni sehemu ambayo hata mgeni akija aone inavutia na kupendeza. Nakumbuka niliwahi…